ORIFLAME | UREMBO, WELLNESS & FURSA YA BIASHARA

FURSA ZA BIASHARA

LUSUBILO AUSTINE KAYANGE

9/21/20261 min read

Oriflame ni kampuni ya kimataifa iliyoanzishwa nchini Sweden, inayojihusisha na bidhaa mbalimbali za urembo, skincare, vipodozi, manukato, body care, hair care na wellness.

Kitu kizuri kuhusu Oriflame ni kwamba siyo tu kuhusu kununua na kutumia bidhaa bora , pia inatoa fursa kwa mtu kujenga biashara yake mwenyewe kupitia direct selling na social selling.

KUHUSU ORIFLAME

  • πŸ‡ΈπŸ‡ͺ Ilianzishwa: Mwaka 1967, Stockholm, Sweden

  • 🌍 Inapatikana kimataifa: Oriflame inaendesha shughuli zake katika masoko mbalimbali duniani.

  • πŸ’„ Bidhaa: Skincare, makeup, manukato, hair care, body care na wellness.

  • 🀝 Mfumo wa biashara: Direct selling na social selling kupitia Independent Brand Partners.

  • πŸ“± Flexible: Unaweza kujenga biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, WhatsApp, network yako na mahusiano ya moja kwa moja na wateja.

UNAWEZA KUNUFAIKAJE?

Ukiwa Oriflame Brand Partner, unaweza:

βœ… Kununua bidhaa kwa bei maalum ya Brand Partner
βœ… Kuuza bidhaa kwa wateja na kupata faida kutokana na mauzo yako
βœ… Kujenga customer base na kukuza biashara yako binafsi
βœ… Kutumia social media na network yako kutangaza bidhaa
βœ… Kujifunza na kukuza ujuzi wa sales, communication na entrepreneurship
βœ… Kujenga team na kuwasaidia watu wengine wanaotaka kuanza biashara yao kupitia Oriflame

Na hapa ndipo ninapotaka kuweka msisitizo zaidi:

NATAFUTA PIA WATU WANAOTAKA KUJENGA SOURCE YA ZIADA YA KIPATO.

Kama unatafuta namna ya kuanza biashara ndogo, kuongeza kipato, kujifunza sales, au kujenga kitu chako mwenyewe, naweza kukuelezea jinsi fursa ya biashara ya Oriflame inavyofanya kazi na namna ya kuanza.

Huhitaji kujua kila kitu kuanzia siku ya kwanza.

Nitakuongoza hatua kwa hatua, nitakuelezea namna mfumo unavyofanya kazi, nitakusaidia kuelewa bidhaa na kukuonyesha namna unavyoweza kuanza kujenga network yako ya wateja.

Iwe wewe ni mwanafunzi, mwajiriwa, mfanyabiashara, mzazi, job seeker au mtu anayatafuta tu fursa ya ziada ya kipato, uko huru kuniuliza na kujifunza zaidi.

πŸ’¬ Unavutiwa na bidhaa?
πŸ’Ό Unataka kuwa Brand Partner?
πŸ“ˆ Unataka kujifunza jinsi ya kujenga biashara yako ya Oriflame?

Tuzungumze.

πŸ“ž 0626 101 470 / 0745 008 988
πŸ“§ lusubilokayange@gmail.com

Safari yako ya mafanikio inaweza kuanza na mazungumzo haya leo.

#Oriflame #OriflameTanzania #BeautyBusiness #DirectSelling #SocialSelling #BusinessOpportunity #ExtraIncome #Entrepreneurship #Skincare #BuildYourBusiness

Get in touch

Operating Globally
Africa β€’ Asia β€’ Europe β€’ North America

Β© 2026 Africa To World. All Rights Reserved.

Contacts

+255745008988
info@africatoworld.org