Fursa za Ufadhili wa Masomo Nje ya Nchi
Unatafuta Scholarship ya Kusoma Nje ya Nchi?
STUDY ABROADFULLY FUNDED SCHOLARSHIP
Lusubilo Austine Kayange
9/30/20261 min read


🎓 Unatafuta Scholarship ya Kusoma Nje ya Nchi?
Kama una ndoto ya kusoma nje lakini hujui uanze wapi, scholarship gani ikuafiki, au jinsi ya kuandaa application yenye ushindani, AfricaToWorld inaweza kukusaidia.
Tunatoa professional scholarship application support kutoka hatua ya kwanza hadi submission.
Huduma yetu inaweza kujumuisha:
✅ Scholarship & university research
✅ Eligibility assessment
✅ CV review & improvement
✅ Motivation/Personal Statement support
✅ Study Plan / Research Proposal support
✅ Application form assistance
✅ Document checklist & review
✅ Step-by-step guidance mpaka application itakapowasilishwa
💰 Agency/Consultancy Fee: USD 500
Muhimu: USD 500 ni malipo ya huduma yetu ya ushauri na msaada wa application. Hailipi scholarship, admission, wala haihakikishi kwamba utachaguliwa.
🎯 Lengo letu ni kukusaidia ku-present your application professionally na kupunguza makosa yanayoweza kukugharimu opportunity.
📩 Unataka kuanza?
Contact AfricaToWorld today.
